Latest Episodes
USIPOIJUA HEKIMA HII MAHUSIANO YATAKUTESA - DR. CHRIS MAUKI
Ziko hekima nyingi za kukusaidia kwenye mahusiano na ndoa, ila nyingine ni ndogo na wengi huzipuuzia. Hii hapa ni moja wapo na wengi imewagharimu,...
UKIONA DALILI HIZI KWENYE FAMILIA YENU JUA IPO SHIDA - DR. CHRIS MAUKI
kuna matatizo ya kufumbia macho na mengine ya kushuhulikia haraka iwezekanavyo. Ukiziona dalili hizi kwenye familia yenu basi usikae kimya
SIO KILA LINALOKUJIA NAMNA HII LITAKUDHURU - DR . CHRIS MAUKI
usikariri, mambo hutokea kiutofauti kwenye maisha. Kuna nyakati mambo yatakujia usivyotarajia ila matokeo yake yatakuwa mema. Ushahidi ni huu hapa
HATA AWE MZURI VIPI, AKIKWAMA HAPA, HAAMFIKI - DR. CHRIS MAUKI
inawezekana kabisa akawa mzuri kwenye mengi na ukayapenda yote ila nakuhakikishia kama akishindwa kwenye hili basi utamchoka
Usilifumbie macho hili unapotaka kuoakuolewa - Dr. Chris Mauki
Usifanye kosa hili kwenye kuitafuta furaha - Dr. Chris Mauki