Wengi tunahangaika sana kutafuta amani, tunafanya vingi, tunakwenda kwingi, tunasema mengi ila iwe iwavyo, ukikosea hapa hutoipata amani kamwe
Ziko hekima nyingi za kukusaidia kwenye mahusiano na ndoa, ila nyingine ni ndogo na wengi huzipuuzia. Hii hapa ni moja wapo na wengi imewagharimu,...