Sep 02 2024 | 00:02:05
Wengi tunahangaika sana kutafuta amani, tunafanya vingi, tunakwenda kwingi, tunasema mengi ila iwe iwavyo, ukikosea hapa hutoipata amani kamwe